https://journals.chaka-ma.com/index.php/chakama/gateway/plugin/AnnouncementFeedGatewayPlugin/atomchama Cha Kiswahili Afrika Mashariki: Announcements2023-03-31T08:13:20+00:00Open Journal Systems<p>CHAMA CHA KISWAHILI AFRIKA MASHARIKI (CHAKAMA)</p> <p>Chama cha Kiswahili Afrika Mashariki (CHAKAMA) ni chama cha wahadhiri wa Kiswahili wa vyuo vikuu katika ukanda wa Afrika Mashariki. Chama hiki kilizinduliwa tarehe 7 Julai mwaka 2002 na wajumbe wa warsha ya wataalamu wa Kiswahili wa vyuo vikuu vya Afrika Mashariki wakati wa mkutano uliofanyika katika Hoteli ya Eland, Arusha, Tanzania.</p>