chama Cha Kiswahili Afrika Mashariki: Announcements https://journals.chaka-ma.com/index.php/chakama <p>CHAMA CHA KISWAHILI AFRIKA MASHARIKI (CHAKAMA)</p> <p>Chama cha Kiswahili Afrika Mashariki (CHAKAMA) ni chama cha wahadhiri wa Kiswahili wa vyuo vikuu katika ukanda wa Afrika Mashariki. Chama hiki kilizinduliwa tarehe 7 Julai mwaka 2002 na wajumbe wa warsha ya wataalamu wa Kiswahili wa vyuo vikuu vya Afrika Mashariki wakati wa mkutano uliofanyika katika Hoteli ya Eland, Arusha, Tanzania.</p> en-US